Mmemiss Jokate Mwegelo?? Amerudi mcheki kwenye Video hii

Jokate Mwegelo tumemmiss ,tangu harusi ya Ali Kiba akapotea zake ,mpaka leo hii hapost wala nini,watu tunamuulizia kila kona ,maana hata kwenye functions mbalimbali pia hatumuoni.

But nimemuona alienda kurembwa kwa Laviemakeup ,sijui for a wedding au sherehe gani but alinoga na makeup yake na hair do yake.

Related Posts

Leave a Reply

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.