Models Watembea Peku kwenye Show ya At Ralph Lauren kwa New York 2018

Well kila designer anajaribu kua na kitu tofauti kuhusu show zao ,kwa sasa New York Fashion Week inaendelea and kwa Ralph Lauren yeye hakuhitaji viatu this time ,aliona tu models watembee peku na collection yake hii imekua inspired na huko kwao Jamaica na Jamaic twajua mambo ni ya visiwa na beach .

Ila Models sita wa mwanzo ndo alikua peku ,wengine walivaa stilettos ,boots etc

 

Related Posts

Leave a Reply

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.