Modest Hijabista :::Dina Tokio

Dina Tokio ni modest fashionista,anafanya youtube videos na pia ana followers wa kutosha tu instagrama ambapo anapata deals mbalimbali za kufanya kazi na makampuni makubwa.

Mwenyewe nimeanza ku jitahidi kua modesty kwenye kuvaa but mdogo mdogo sababu kubadili style aint easy at all but i will get there.

her style is simple and laid back,nguo zake nyingi kila mtu anaweza kuvaa na ku style akapendeza tu.

love this huge bow belt

moja ya Eid lookbook alofanya 

love these pants ,so fun but siwezi kuvaa tu 

shades of pink

denim on denim with fun shoes and leopard top

mcheki instagram @dinatokio

Leave a Reply

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.