Modesty Hijabista of the Day :::Rabia YILDIZ & SEMİHA BEKTAŞ

Leo ni Al Jumaa tucheki different outfit ideas kutoka kwa modesty fashionistas around the world

they are covered ila still Masha Allah wako stylish pia.

 

RABIA YILDZ

Highwasted denim skirt,turtle neck and a trench coat ,akaa Ujerumani huyu kuna baridi kwa sasa wewe chukua ambayo unaweza kuvaa kibongo bongo

skinny jeans with over sized blazer  belted blazer

SEMİHA BEKTAŞ

loved alivyobelt sweater yake akavaa na pleated skirt ambazo ziko so inn

double denim

kama una dress yako ya kata mkono kama umechoka kuvaa na blazer au kimono vaa shati ndani au turtle neck.

Related Posts

Leave a Reply

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.