Moschino’s Fall 2016 Collection Imetisha Ikiwa na a Chandelier Dresses na Magauni yanayowaka Moto Kwa Runway Zama nikujuze How it went down.

Moschino ni designer Muitaliano ambaye for the past two years amekuwa juu sana kwa fashion akivalisha celebrities kwa red carpets hata kwa movies kama alivyo Cookie kwenye Empire na Kate Perry alikuwa kisura wa Moschino kwa mwaka jana pia.

So kwa fashion shoe yake ya Fall 2016 Collection  imekuwa hot and inaongelewa sana sana kikubwa ni ubunifu mzima wa show maana the run ways decor yake ilikuwa kama ni nyumba imeungua hivi so kuna mabaki yaloungua ungua yako chini kwa picha mtaona vizuri.

So the talk of the show ilikuwa na Chandelier dress ,mwajua zile yaa nzuri za kuwekwa juu zinaning’inia???ndo hizo model kalivaa hilo na gauni lake,nyingine ni model wakipita na magauni yakiwa yako on fire na yanatoa smoke kabisaa.GettyImages-512304828.0

The chandelier DressesGettyImages-512305946.0

The model ambaye her dress linatoa moshi kabisa.
GettyImages-512306030.0

sijui how they pull it off ku make sure kunakuwa na a smoke kabisa.GettyImages-512304474.0 GettyImages-512305674.0 GettyImages-512304478.0 GettyImages-512305874.0 GettyImages-512305678.0 GettyImages-512304826.0GettyImages-512271810.0 GettyImages-512305594.0
GettyImages-512304812.0 GettyImages-512304814.0 GettyImages-512271808.0 GettyImages-512304482.0

love this denim lookGettyImages-512305928.0 GettyImages-512305642.0 GettyImages-512305628.0 GettyImages-512305620.0 GettyImages-512305710.0 GettyImages-512271816.0 GettyImages-512271236.0 GettyImages-512271248.0

Related Posts

Leave a Reply