Mshono :: Kitenge Blazer Dress

Yes mwazikumbuka hizi blazer dress ambazo zimevaliwa sana ,tuliziongelea sana ,hata juzi nilipost hizi plaid,checks blazer dress ambazo zina trend kwa sasa
Na kwenye african prints /vitenge watu wapo wanaenda na trends na kitenge kinakubali mishono yote.Desa Mishono kama wataka ki blazer dress cha kitenge 

waweza ku dress down au up

na sneakers au heels pia 

wavaa kwa occasions nyingi sana hata ofisini waweza vaaa ukavaa na suruali au pencil skirt 

am loving this one 

ukitaka the over sized one pia fresh

 

Related Posts

Leave a Reply

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.