Mshono ::Pata Mshono wa Da Shamim kutoka Katty Collection

Looking for a simple mshono??Well huu wa Da Zeze unakufaa

uko simple na very modern ,batiki kama tumeisahau hivi tumekomaa na vitenge,Ikishonwa vizuri na kamshono katamu inanogaa.

the dress inakuja na detachable belt waweza vaa hili belt separately na gauni ni wewe tu 

mixed prints ikiwa imekaa sehem yake

Imalaika hii photo drop corner ni fire

Related Posts

Leave a Reply

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.