MWANAMKE KIBAO KATA,MWANAMKE KUFUNDWAA

 

 

kibaokata

Chezea mswahili miye aka somowakwanzawakichagga, baada ya kuwaletea masomo wenzangu waswahili wenzangu wakutoka, magomeni,temeke na tandale sasa nakuletea mama yao hahahaha mwanamke wa mwananyamala matashtiti yake utayajua siku hiyo, mimi napenda wanawake wajitambue kwenye mapenzi haswa chumbani na hakuna wanaojua mahaba kama waswahili ndio maana siachi kuwafunza wanawake wenzangu….hahaha kantangazeeee

Mwanamke kibao kata, mwanamke kufundwa, tarehe 31/8 usikose lipia dera lako mapema, ukaikate nyonga na wana kibaokata, na bila kusahau tukajitangazeeeee na msaga sumu ndio yuleyule aliyekuwepo kwenye movie ya kigodoro kantangaze atakuwepo nasi siku hiyo kutupa raha na nyimbo zake…hhehe heiya sio ya kukosa hii bibi wewe na mashoga zako kwa group ya watu sita kuendelea dera na ticket moja ya bure itapatikana kwenu.kwakulipia piga number hiyo hapo

na pia unaweza mfwata somo wako kwatika instagram mama Rosemary Mizizi aka somowakwanzawakichagga katika account yake ya instagram ya @somowakwanzawakichagga ukapata chachandu zake na masomoyake kabla ya siku hiyo.

Mwanamke maujuzi bwana, mwanamke ukaujue mwili wako na kujua kuuchezesha, hahahaha haloooo mwanamke nyonga…

Related Posts

1 Comment

Leave a Reply

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.