MY NEW HAIR DO ::KINKY DREAD STYLE

 

TANGU NIINGIE CHAMA CHA NATURALISTA #TEAMNATURAL NILIKUWA SIJAWAHI ZIGUSA NYWELE ZANGU STYLE YOYOTA ZAIDI YA ILE KITAULO NA KUSUKA  TWENDE KILIONI NIKIWA LIKIZO YA UZAZI , KWA SASA NYWELE ZANGU ZIMEKUWA KWA KWELI NASHUKURU T444Z IMENITENDEA HAKI, SASA NIKATAKA BADILI STYLE NDO NIKAAMBIWA KUNA HII STYLE NIKAIPENDA NA NIKAAMUA KUSHARE NANYI KIZURI KULA NA WENZIO

NIMESUKWA NA DA ANNA YE ANAZIITA DREAD, ZINASTYLE TOFAUTI ZA KUBANA, UNAWEZA KUKAA NAZO KWA MIEZI MITATU NI WEWE KUZIOSHA NA KUREPAIR NA KUBADILI STYLE YA KUBANA

nzuri saana kwa sisi wenye nywele asili maana nywele zinanyooka kama umesuka  Uzi

UKITAKA SUKA NAWE MCHEKI DA ANNA 0719 64 13 83, ANAPATIKANA MAKUMBUSHO

HAPA BAADA YAKUSUKWA
shamim hair style

MI NILIANZA NA MBANO HUU

shamim zeze new hair do shamim dreadlock style shamim hair do

USISAHAU KUNIFOLLOW INSTAGRAM @8020FASHIONS ILI UWEZE PATA UPDATE SAMBAMBA NA KUDISCUSS HAPO KWA PAPO  YANAYOJIRI DUNIANI NAPIA HAPO JUU KULIA WEKA EMAIL YAKO ILI UJISAJILI TUWE TUNAKUTUMIA YANAYOJIRI BLOGUNI HATA KAMA HUJAFUNGUA BLOG, BILA KUSAHAU PERUZI BLOG KUPITIA SIMU YAKO

Related Posts

2 Comments

Leave a Reply

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.