NAIJERIAN SWAG :IJUE ASOEBI

NAIJERIA INASIFIKA SANA KWA MAVAZI YAO YA KITAMADUNI AMBAYO YAMEJIPATIA UMAARUFU MKUBWA NA KUTOKEA KUPENDWA AFRICA NZIMA NA ULIMWENGUNI KWA UJUMLA.SANA SANA TUNAJUA LACE HUKO NAIJERIA NDA KWAO,ANKARA PAMOJA NA GELE ILA KUNA HII ASOEBI.

ASOEBI NI VAZI LA KITAMADUNI LA KABILA LA YORUBA MAANA NAIJA KUNA IGBO NA YOURUBA AS MAKABILA YANAYOJULIKANA SANA SO LEO TUCHEKI HII ASOEBI AMBALO NI VAZI LAVALIWA SANA KWENYE MAHARUSI HUKO KWA WAPOPO NA WAMEWEZA KULIWEKEA NAKSHI NA MITINDO YA KISASA AMBAYO INAMVUTIA MVAAJI.

MARA NYINGI ASOEBI INAKUWA INA MATCH BLAUZI NA KIPANDE KAMA CHA KHANGA AU KITENGE WANACHOFUNGA KWA CHINI ,ILA ZIPO AMBAZO HAZIMATCH PIA SO NAFIKIRI NI PENDEKEZO LA MVAAJI.d242986e-ade2-453a-bd79-39095457d002MFUNGO WA HII ASOEBI HUWA YAFUNGWA KWA MBELE WANANAMNA YAO HUFUNGA HAPO MBELE b50e9d22-8b00-4a93-bacd-bbfdc1afe80f 5b384e6e-1b85-4296-8ee7-ea04d9ac9eb6 5e6300e7-24ba-43f0-b210-7206a9f0ce64 496beae7-8bc0-4584-95fc-0f7fa4802564 40461911-ba0b-465f-a62e-4d7d32f33590 c4cbcbc6-0633-4563-8f8b-073e8c4526d9 PicsArt_1406236953340 BNBNB img_12571CREDIT:SASSYSAFFY,IYEKO

USISAHAU KUNIFOLLOW INSTAGRAM @8020FASHIONS ILI UWEZE PATA UPDATE SAMBAMBA NA KUDISCUSS HAPO KWA PAPO  YANAYOJIRI DUNIANI NAPIA HAPO JUU KULIA WEKA EMAIL YAKO ILI UJISAJILI TUWE TUNAKUTUMIA YANAYOJIRI BLOGUNI HATA KAMA HUJAFUNGUA BLOG, BILA KUSAHAU PERUZI BLOG KUPITIA SIMU YAKO

Related Posts

Leave a Reply