NATURAL HAIR STYLE: 7 DAYS 7STYLES

787888HAYA KWA WALE WENZETU MANATURALISTAZ PATA STYLE HIZI ZA WIKI NZIMA ZA NYWELE ZAKO.SAA NYINGINE UNACHOKA KUSTYLE STYLE MOJA TU SO TUMEWALETEA STYLE TOFAUTI UTAKAZOWEZA KUSTYLE KWA SIKU SABA.

SIKU YA KWANZA NI KUCHANA TU KAWAIDA UKISHAOSHA NA KUPAKA MAFUTA.

SIKU YA PILI UNACHANA KAMA SIKU YA KWANZA ILA TU UNACHANA WAY YAKO KIASI WAY ITAKAA KAMA WATUMIA MAFUTA NA NATUARAL HAIR67666879SIKU YA TATU CHANA NYWELE ZAKO KWENDA JUU WEKA NA KIBANIO KIDOGO AU KISCARF KULINGANA NA MUONEKANO WAKO WA SIKU HIYO.

SIKU YA NNE WAWEZA TAFUTA MTU AKUSUKE PEMBENI KAMA MISTARI MIWILI MIATATU TU AU AKUSUKE UPANDE MMOJA

7979809-0SIKU YA TANO UNABANA WANAITA UP DO AMBAYP UNABANA NYUMA NA PEMBENI UNAACHA MBELE KAMA KIDUKU HIVI

0988STYLE YA SITA KIDOGO YAHITAJI MSUSI MAANA UNASUKA MISTARI MIKUBWA NYUMA NA PEMBENI WASUKA VIMISTARI VIDOGO KATI WASUKA BUTU KUBWA MOJA PICHA WAWEZA MUONYESHA MSUSI WAKO

NA MWISHO NI STYLE YA SABA AMBAYO UKISHASUKWA STYLE YA SITA BASI WEWE SIKU YA SABA WAONGEZEA KISKAFU CHAKO ILA SHURTI UACHE NYWELE KIDOGO MBELE.

SHARE NASI STYLE ZAKO WABANAJE NATURAL HAIR KWA EMAIL SHAMYOMY@YAHOO.COM

INST @8020FASHIONS

TWEETER @8020FASHIONS

FACEBOOK @8020FASHIONS

Related Posts

1 Comment

Leave a Reply