NATURALISTA:EMMY KOSGEI

ugyiuKAMA UNAPENDA NYIMBO ZA INJILI AU GOSPEL BASI EMMY SIO MGENI KWAKO AS NI MKENYA AMBAE NI MAARUFU MNO KAMA MUIMBAJI WA GOSPEL MUSIC.

KILICHONIVUTIA NI STYLE YAKE YA NYWELE AMBAYO NI KAMA DREADS NDOGO/FUPI AMBAZO NDO HUWA ANAZIROCK MUDA WOTE KINGINE NI UREMBO YANI SHE IS BLACK AND BEAUTIFUL VERY NATURAL .

ALSO EMMY NI MVAAJI MZURI SANA WA NGUO ZA KITAMADUNI AKICHANGANYA ZA KIMAASAI NA VITENGE KAWAIDA,PIA HATA ACCESORIES ZAKE PIA NI ZA KIAFRICA .hbbjj

 

bhghjkj hhjjhkj bvbvhj bjj

YYT7 BVBVHGVH HGHYUYHIUCREDIT:EMMYKOSGEI FACEBOOK PAGE

USISAHAU KUNIFOLLOW INSTAGRAM @8020FASHIONS ILI UWEZE PATA UPDATE SAMBAMBA NA KUDISCUSS HAPO KWA PAPO YANAYOJIRI DUNIANI NAPIA HAPO JUU KULIA WEKA EMAIL YAKO ILI UJISAJILI TUWE TUNAKUTUMIA YANAYOJIRI BLOGUNI HATA KAMA HUJAFUNGUA BLOG, BILA KUSAHAU PERUZI BLOG KUPITIA SIMU YAKO

Related Posts

Leave a Reply

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.