NATURALISTA:STELLA MWANGI a.k.a STL

trr67576STELLA AU AJULIKANA JINA LA KISANII KAMA STL NI MKENYA ILA ANAISHI NORWAY ,NI MSANII WA MUZIKI NA SANA HUWA ANARAP.MOJA YA NYIMBO ZAKE NI ILE YA HABA HABA HUJAZA KIBABA ITAFUTE NA MPYA YAITWA BIASHARA.

STELLA HAKUWA NATURAL ILA NAONA AMEAMUA KUHAMIA HUKU TEAM NATURALISTA NA AHUWA ANAWEKA RANGI KWA NYWELE KUBADILISHA MUONEKANO WAKE KILA MARA.

MBALI NAKUWA NATURAL STELLA PIA NI MVAAJI MZURI WA VITENGE/AFRICAN PRINTS KWA VIATU HUWA ANAFUNGA KITENGE TURBANS  NA TOUCH ZA AFRICAN PRINTS HUWA HAKOSI KWENYE MIONEAKANO YAKE guyu hghgughuhyiu9 7676 vhhyg yty7t7t hghgyu News_015823_Other_002CREDIT:STELLAMWANGI FACEBOOK PAGE

Related Posts

Leave a Reply