New Arrivals za Perfume OG/Genuine Ni Pale Soul and Senses Perfumes

KWA WALE WAPENDA UNYUNYU WA UKWELI /GENUINE

Hili ndio duka pekee ambalo unapata Perfume Genuine aka OG na kwa bei nzuri sana,perfume zote pendwa duniani utazipata hapa,Jongea basi ukapate ya kwako na sasa wana punguzo la asilimia 15 kwa perfume baadhi na nyingine ndo zimeingia .

WANAPATIKANA

Libya Street Dsm

MAWASILIANO

Call 0622 993 316/0715609000

INSTAGRAM

soulandsenses_tz

Wako a na perfume mpyaa version one ambazo wapata duty free tu na nyenginezo.fika dukani akuscanie kwa #qrscancode kuhakiki uOG wake
.
Mi juzi nimeona perfume #becauseofyoundani ya vogie namuuliza anayo kanikomeshaa😜
.
We kama mchuuzi wa jumla atakupa bei ya jumla na ana perfume ye ndo wakala Bongo cheki nae’
#tulipebillz #8020ads

Related Posts

Leave a Reply

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.