New Music Alert:: Hii ni nyimbo mpya ya Ray C,Kiuno bila mfupa Amerudi

Ray C amepungua sana ,her body is back maana si kwa mazoezi yake ,am happy to see her akiwa na energy sana na kuendeleza gurudumu la muziki.

So amepost picha instagram akituonyesha mauno yale tuloyamiss na hivi mwili umerudi basi rahaaa mwaswahili wanasema pambee tuu.

Love this video akitupa teaser ya wimbo wake mpyaaa ,wale team muziki mzuri msubiri hii kwa hamu

Enjoy

Related Posts

Leave a Reply

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.