New York Fashion Week Spring 2019:: Tom Ford,Jeremy Scott,Alexander Wang

New york Fashion Week imesha anza na designer wanachuana vikali ,kila mtu akija na mambo mapya na vitu amazing mradi tu kuhakikisha wadau wanapata kitu kizuri.

Tuanza na Tom Ford ambaye ali stick to dark colors japo aligusia kidogo spring colors kama nude na purple ya mpauko ambayo ndo rangi ya mwaka huu.

Kingine kulikua na lots of skin /leather materials ,pia models wengi walivaa vitambaa kichwani.

GIGI HADID alifunga show

shiny suits 

two tones shoes

 

ALEXANDER WANG

Huyu ndo wale wa rock and roll watapatia vivazi hapa,lots of biker jackets,mambo ya high end  sports wear ,lingerie top pi zilikua,ame tumia pia bandana kibao,gloves etc

JEREMY SCOTT

Yeye alistick to BRIGHT COLORS

Related Posts

Leave a Reply

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.