NI VIBAYA KUVUTIWA NA MTU MWINGINE WAKATI UPO KATIKA MAHUSIANO ??

Je ni vibaya kuwa attracted kwa mtu mwingine ambaye sio girlfriend/boyfriend/fiance/mume/mke wako?? Imewahi kukutokea wewe?? And what did you do about it, Ulimuambia mwenzako au ulikausha tu.

relationships 8020 fashions

This topic inawalenga wote, both men and women, kwani hata kama haupo katika mahusiano hivi sasa ulishawahi kupitia kitu kama hiki. Every once in a while tuna kutana na mtu ambaye anatuvutia hata kama upo katika mahusiano. Kama kitu kama hiki kimewahi kukutokea ulifanya nini?? Je ulianza kulose interest kwa partner wako uliyekua nae kipindi hicho.

relationships 8020 fashions 3

Watu wengi sana huwa wanachukulia jambo hili tofauti kabisa, kwani hapo mtu anaweza kufikiria kuwa labda mtu aliyekuwa naye kwa kipindi hiko kashamchoka, au the chemistry between then ndio basi tena, hiki kitu kinapelekea mahusiano ya wengi sana kufikia vibaya.

relationships 8020 fashions 4

Wengine huambiana mambo kama haya, kwa those couples ambao wanaurafiki.

relationships 8020 fashions 5

THE QUESTION INAKUJA HAPA, IS IT OKAY OR NOT KUVUTIWA NA MTU MWINGINE WAKATI UPO KATIKA MAHUSIANO?

Kuvutiwa na mtu mwingine sio kosa, IT IS NOT A CRIME.

Ni kitu cha kawaida kabisa kuvutiwa na mtu mwingine kwasababu wewe ni binadamu tu, na kuvutiwa kwa mtu ndio kilichowaleta pamoja wewe na partner wako, kwahio sio kosa unless ufanyie kazi huo mvutio. Unaanza kuficha mambo kwa mwenzako na kuanza kumfuatilia huyo mtu na hata kuflirt, hiki ndicho kitakachopelekea matatizo katika mahusiano.

man woman hands holding broken heart

Ni vyema  tu kuwa muwazi na mwenzio, hadi upo katika mahusiano na huyo mtu unatakiwa uweze kumwambia mabo kama hayo, “what is a relationship without trust and friendship”

Tuambia kwenye comment mawazo yako juu ya topic hii, kama umewahi kuwa katika situation ambayo unavutiwa na mtu mwingine ulifanya nini, na kama mwenzako amewahi kukuambia kwamba anavutiwa na mtu mwingine. Zama pia www.8020Forums.com  tuendelee kudiscuss zaidi.

Related Posts

2 Comments

  1. Naona mahusiano yanapokuwa ya muda mrefu kuna tabia ya kuzoeana inayopelekea kuanza kutamani mwingine na mapenzi ya sasa mmm ni mtihani yani bora siku ziende

Leave a Reply

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.