NYAMA CHOMA FESTIVAL

 

YESSSSSSSSSSSSS!! HAYAWI HAYAWI SASA YAMEKUWA NI JUMAMOSI HII NDO NYAMA CHAMA FESTIVAL TUTAKULA KILA AINA YA NYAMAAA ,MBUZI  KUKU NA HATA NG’OMBE KAMA SI SAMAKI  NA BATA …NI MAHALA PAMOJA TU

WAPI::VIWANJA NYA MICHEZO CHUO KIKUU ‘UDSM SPORTS GROUND’

LINI ::JUMAMOSI

TAREHE ::6 SEPTEMBA

MUDA ::SAA SITA MCHANA

KIINGILIO CHA ::10,000 TU

BILA KUSAHAU CORNER YA MICHEZO YA WATOTO ITASIMAMIWA NA KIDSEVENT  KWA 5,000 TU

nyama choma

Related Posts

Leave a Reply