Nyumbani ::: African prints Table mats,Napkins ,Table runner,Aprons too

Jinsi basi ya ku add African touches kwa nyumba yako

tusi ishie kupenda kuvaa tu vitenge basi tuvi add pia kwa decor kwenye nyumba zetu,Ni African touches so zinafaa sana ku add hapa na pale nyumbani kwako,kama vile table mats,kwenye lamps ,kwa mito ya makochi au kitandani etc.

Sababu kitenge kina colors na maua basi kinapendeza sana kuki addiwa kwenye vitu ambavyo vina neutral colors kama mfani makochi yenye color moja ,yes kwa makochi ambayo yako busy tayari cheki tu kitenge chenye color moja wapo na ya makochi ili kuleta rangi za kuwiana.

Table runners
Napkins 

zinependeza sana 

flower pots

wale flower bae mwaweza weka kitenge kwenye pots zenu za maua kama hizi

kuna watu wabunifu oneni haya maua ya kitenge 

throw pillows 

kitenge lamp

Aprons and oven mitts

nimependa sana hizi za kushikia sufuria japo ni special kwa oven ila you can use them however you want

credit ::bespokebinny

Related Posts

Leave a Reply

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.