NYUMBANI ::CUTE COFFEE TABLE DESIGNS

Nyumbani leo nawaletea coffee tables,sasa hivi kila mtu anaependa a modern home shurti hii Coffee table uwe nayo kwa living room yako.Hapa bongo kwa sasa watu wanajitahidi jamani hata wanaotengeneza furnitures wanaleta designs mbalimbali za kisasa ambazo zinavutia.

Coffee table ya kwenye living room yako sana sana decor yake kubwa ni kama flowers,books,remote control haihtaji makorokoro utaharibu show na living room itaonekana chafu,mind you living room ni sehem ya kuchill ,kuangalia tv etc sio pa kulia chakula table

Coffee tables with a modern design

Hizi ni za mbao zina vi design tofauti tofauti inategemea tu shape gani waipenda.

coffee

Kuna zile za two in one ni meza moja lakini design yake imetoa meza mbili zinaungana na pia waweza kuweka colors kama kijivu,nyeupe au nyeusi.

4.-Sophisticated-Design-of-Coffee-Table-with-Storage-using-Hydrolic-White-Top-for-Modern-Sitting-Area

Coffee table with storage

Hizi storage ni nzuri mnoo kama ya hapo juu unakazi yako kwa living room una sip some tea au juice huku ur working on ur computer 
Coffetabledesings (16)

Hii ya black and white hizo drawers weka vitabu au candles ukimaliza waweza rudishia.Fashionable-superb-glass-coffee-table-decoration-ideas-with-flower-vase-the-top-and-gray-fabric-sofa-also-lamp-standing-corner-along-with-hardwood-flooring-770x513

Hizi ni za kiyoo na chuma

they are nice tena hapo ni ziko mbili ni design tu,moja ni kuwa waweza mpa mgeni wako juice ukaitoa hapo meza ukamuwekea alipokaa nyingine ikabaki hapo hapo bila kuharibu show ya living room yako.
12716703_988815201201922_286055199_n

Hizi pia zina storage waweza weka kwa chini maua au vitabuGlass-Coffee-Table-Living-Room-Ideas

Another cute design8.-Unique-Suitcase-Like-Coffee-Table-with-Storage-using-Wicker-Details-on-Grey-Carpet-near-Fluffy-Sofa

Vintage Suitcases

Kama kwenu babu yako anasanduku la zamaniiiiii basi libebe bwana we waweza litumia kama coffee table .Huwa yanakuwa unique na color zilo tulia.

DIY-Padded-Ottoman-Coffee-Table

Hizi zinaitwa Ottoman Coffee Table zinatumika two ways ,moja kama coffee table nyingine kama kisofa cha kukalia pia kama utapenda kukalia sio lazima.

COFFEETABLES

Vingine mpaka vya leather vipo na vinakuwaga pia na storage kwa ndani.Na hizi ni za square Coffetabledesings (6)

Hii pia ni ottoman coffee table ila ya round.Zingine waweka kioo kwa juu hapo hii iko kawaida tu.

Related Posts

3 Comments

  1. Hello Shamimu, Asante kwa kutujuza mambo muhimu kama hayo dear, Huwa napenda sana Post zako in General, hasa hizo zinazohusu nyumba usiache dear ni muhimu mno kujuzana. ila huwa napenda sana hizo Shelves za vitabu kwa Sitting room na nahitaji kuweka Sitting room yangu. unaweza ukawa una Idea na Watu gani kwa hapa DAR huwa wanaweka vizuri na Kisasa zaidi Mwenzangu? Please nijuze basi

Leave a Reply to janeth Cancel reply

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.