TBT Nyumbani Leo::: Jinsi ya Kuhifadhi vyakula na Matunda kwa muda mrefu bila Kuharibika

Came across this article from Bongocelebrity ikiwa imeandikwa na kaka Jeph Msangi,we all know kutupa chakula sio kitu kizuri na wengine hatujui kutunza basi vinaishia kuharibika na hata kutumia hujatumia.

Leo naongea na wote ,hii itasaidia kujua aina za vyakula,mboga ,matunda na vinginevyo jinsi gani utunze vipi vikae kwa muda husika.

Related Posts

1 Comment

  1. shukran sis.
    hizi uwa nazifanyia kazi na it works with me.

    kama ya kuhifadhi ndizi zilizoiva aaah inanitendea haki sana.

    ubarikiwe sana my sis.

Leave a Reply

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.