NYUMBANI:::LIVING ROOM DECORS

DE

Post ya nyumbani imerudi na leo twashea nanyi living room decor.Kila mtu ana mapenzi yake kwenye decor maana mwingine anapenda sana maua wengine colors za sofa zake anachanganya na rangi za kushout kubring more light.

Kama hiyo hapo juukachanganya nyeupe na pink which zina attract jamani pink na white niice

DECOR2

decor za ukutaani wengine wanapenda picha,saa au just walpapers.

LIVING ROOM

Black and white.

DECOR4

Hiki kiti chafaa sana uweke kwenye kona flani hivi na hiyo stand hapo waweza soma vitabu vyako au kuchat maana kuchat ndo habari ya dunia wachache sana wanasoma tujitahidi.

DEC

Hii sehem iko very peaceful colors zake tu ziko cool decor ya kwenye coffee table??nice

VV

Dah hiyo rag safiiii nyeupeeee cc #Da TEMINA nakuona

love the pop of red

DGDEOR4DECOR22

Related Posts

Leave a Reply

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.