THE OFFICIAL LAUNCH OF SKY PALM TRAVEL

Launch ya Sky Palm Travel ilifanyika jumamosi tarehe 5 pale Uhuru Heights, and it was successful. The launch was prepared by Ally Rehmtullah for Mr & Mrs@burakbuyuksarac . Watu walikuja kuwapongeza na kusherekea nao katika kufanikisha uzinduzi huo.

BALOZI wa Uturuki nchini Yesemin Eralp amezindua kampuni mpya ya huduma za tiketi za ndege pamoja na Utalii ya SkyPalm Travel and Tour Ltd.
Tukio hilo lilitokea jumamosi hii hapa jijini ambapo balozi huyo alitoa wito kwa wawekezaji zaidi kujitokeza kuwekeza kwenye sekta hiyo.

Alisema kuwa Tanzania imekuwa ikifanya vema kwenye sekta ya utalii huku ikiwa na vivutio vingi vya utalii vinavyovutia zaidi na kuwavutia watalii kutokea nchi mbalimbali.
Aliongeza kuwa wageni kutokea nchi mbalimbali duniani wanahitaji huduma kutokea kwa kampuni bora zaidi itakayowahudumia kwa ufanisi na umakini.

Kwa upande wake Mkuu wa Biashara wa kampuni hiyo Meysun  Buyuksarac alisema kuwa kampuni hiyo imelenga kuimarisha utoaji bora wa huduma za usafiri wa ndege pamoja na utalii nchini.

Alisema kuwa Tanzania inazo fursa nyingi za utalii ambapo zimekuwa zikipelekea wageni wengi kujitokeza kuja nchini kutalii, na hivyo kupekekea wageni kutokea nje ya kuja kwa wingi na wao kama kampuni wamejipanga kutoa huduma bora zaidi ili kukidhi uhitaji.

sky palms launch-35

sky palms launch-43

sky palms launch-44

sky palms launch-45

sky palms launch-49

sky palms launch-51

sky palms launch-54

sky palms launch-60

sky palms launch-65

sky palms launch-66

sky palms launch-70

sky palms launch-77

sky palms launch-79

sky palms launch-81

sky palms launch-82

sky palms launch-83

sky palms launch-86

sky palms launch-90

sky palms launch-94

sky palms launch-95

sky palms launch-98

sky palms launch-100

sky palms launch-103

Mr & Mrs Burakbuyuksarac walipongezwa pia na ambassador wao

sky palms launch-111

sky palms launch-115

sky palms launch-119

sky palms launch-132

sky palms launch-140

Mr. @burakbuyuksarac akielezea kuhusu sky palms travel

sky palms launch-142

sky palms launch-146

Their Ambassador akiwapongeza kwa kuweza kuanzisha Sky palms travel, na kuwatakia mafanikio.

sky palms launch-150

sky palms launch-154

sky palms launch-155

Hapa kulikuwa na mchezo ambapo kila aliyefika alitakiwa aweke business card yake ndani ya bowl na card ya itakayochaguliwa huyo mtu atapewa ticket ya kwenda na kurudi ya Dubai.

sky palms launch-157

sky palms launch-158

Ambassador akichagua card ya atakayeshinda.

sky palms launch-159

sky palms launch-160

sky palms launch-161

Alishinda owner wa Pikasso salon.

sky palms launch-165

Watu wakaendelea kunywa na kula wakisherekea uzinduzi huo.

sky palms launch-58

sky palms launch-59

sky palms launch-62

sky palms launch-67

sky palms launch-96

Related Posts

Leave a Reply

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.