On the cover of Forbes is Kylie Jenner named ‘youngest self-made American billionaire’

Hate or love the Jenner/Kardashian Clan they are winning especially the youngest Kylie Jenner ambaye hata kabla ya miaka 21 alishatengeneza cosmetic line ya Million 900.She is going to be the youngest self billionaire soon .

Miaka kama miwili sasa ambapo Kylie alianzisha her makeup line kylie cosmetics.Kimkwa sasa ana $ Million 350 kaachwaje mbali sasa.

Kwa huko majuu Kylie hana kisheria tu haruhusiwi hata kunywa pombe maana she is only 20 by the time anafika 21 atakua billionaire tayari.

She is number 27 on Forbes’ list of richest self-made women in America, leap-frogging Barbra Streisand ($400m), Beyonce Knowles ($335m) and Taylor Swift ($320m).

By comparison her half-sister, Kim Kardashian West, 37, has to scrape by on a measly net worth of $350m.Kim alitengeneza makalio na anajulikana kwa jishape lake Kylie akatengeneza lips ambazo ndo zimemfanya awe na make up line yake

Wiki hii Kylie ametangaza kwamba hata choma tena lip injenctions zinazojulikana kama dermal fillers.Kylie ana mtoto mmoja wakike Stormi.

Related Posts

Leave a Reply

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.