Onyo la Diamond kwa watoto wake wa kiume Nillan na Dylann

Saa hizi Dimaonda anawaza wakwe zake tayari,i guess ukiwa na watoto wa kiume unawaza hivyo au ni yeye tuametoa onyo kali kwa vijana wake wa kiume Nilan na Daylan kwa kuwata asiwaletee wakwe vijuso,

Mama zao sio vijuso ndo maana hataki wakwe vijuso??ndo alichaomaanisha maana anasema wamechukua uzuri wa mama zao.

Alipost hii picha na caption kwa chini

-Record Label
-Wasafi Records
-Diamond Karanga
-Chibu Perfumes
WasafiDotCom
-Wasafi Studios
-Wasafi Tv
-Wasafi Fm
Pamoja na Uzuri Mliorithi toka kwa Mama zenu halaf Mkaenda kuniletea Wakwe Vijuso….Dah Mtanisikitisha sana…

Related Posts

Leave a Reply

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.