ORIGINAL KOMEDI WAKATA BIMA YA MAISHA TOKA CRDB MICROFINANCE INSURANCE BROKERS

CRDB MICROFINANCE INSURANCE KUWAPATIA BROKERS WAKALA WA BIMA ZA AINA ZOTE IKIWEMO BIMA YA AFYA,MOTO,NYUMBANI,MAISHA WAKISHIRIKIANA NA KAMPUNI ZAIDI YA KUMI ZA BIMA NCHINI TANZANIA WALIFANIKIWA KUWAPATIA, ORIG

INAL COMEDY COMPANY HUDUMA  YA BIMA YA MAISHA,MAZISHI NA ULEMAVU WA KUDUMU WAO NA NA FAMILIA ZAO KUPITIA  AFRICAN LIFE ASSURANCE( TANZANIA) LIMITED NA  CAMPUNI YA AAR INSURANCE TANZANIA

.CRDB MIMCROFINANCE WANAYO FURAHA YA KUWAPATIA WASANI HAWA JOTI,MPOKI,MASANJA,WAKUVANGA,MAC REGAN,SEKIONI DAVID,HENRY PAMOJA NA JONAS HUDUMA HII NA PIA WANAHAMASISHA WASANII WENGINE WANAHABARI WANAMITINDO NA WATANZANIA WOTE WA HALI ZOTE WAJE CRDB BANK TAWA LOLOTE NCHINI TANZANIA WATAPATA HUDUMA NZURI YA HARAKA YA BIMA”NDANI YA MIKONO SALAMA

IMG-20140930-WA0016 IMG-20140930-WA0015 IMG-20140930-WA0014 IMG-20140930-WA0013 IMG-20140930-WA0017

Kwa BIMA hii ya maisha  siku yo yote walipatwa na mgogoro wa kiafya wanatibiwa hospital yo yote yenye AAR na hata kupelekwa tibiwa nje ya nchi

Related Posts

1 Comment

Leave a Reply