Latest Stories (Page 4/411)

Mshono #291 :::Hiki Ki skirt cha Da Shamim Mwasha Kilichotrend Nairobi na Tz

Da Shamim aka Zeze yuko Nairobi akihudhuria Director Seminar kutoka Oriflame ,akiwa huko naona kaja na style ya Slow Mo nikimaanisha slow motion maana…

Read More

Mshono #290::: Mwezi March uwe as Bright as huu mshono

Good morning Robo ya mwaka ndo hii na leo ni March 2 ,tucheki mshono ambao nau dedicate kwenye uwe bright and soft kama hii…

Read More

Let’s Judge :::Maua Sama’s Head to toe Makeover

Mwanamuziki Maua Sama amebadilisha muonekano wake,may be ni sababu amapata stylist mwingine ,au ameamua ku go out of her comfort zone either way we…

Read More

”Usiombe Mungu upate bwana mwenye pesa omba Mungu upate pesa zako uwe huru”Faiza Ally

Mrembo Faiza Ally ambaye amejipatia umaarufu mkubwa kupitia post zake za instagram na vituko vyake mbalimbali. Amehojiwa na kipindi cha The Mboni Show ambapo…

Read More

Salama Jabiri Kuja na Show yake mpya ya SHABIKI

Mkali wa vipindi bora bongo Salama Jabiri aka ecejay baada ya kipindi cha Ngazi kwa Ngazi ,na Mkasi sasa yuko tayari kuja na kipindi…

Read More

Oprah Asema Ishara toka kwa Mungu ndo Pekee itakayomfanya Agombee uraisi wa Marekani

Kumekua na rumours na maombi ya wengi kwamba Oprah aweze ku run for president but kasema kama mungu atakaa anatakaa awe raisi atakua. Akiwa…

Read More

Lundenga akabidhi kijiti cha Miss Tanzania kwa Basilla Mwanukuzi

Mkurugenzi wa Kampuni inayoandaa mashindano ya Miss Tanzania ya Lino International Agency LTD Hashim Lundenga ametangaza rasmi kuacha shughuli za kuendesha mashindano hayo kuanzia…

Read More

Barakah the Prince and Naj’s Public Display of Affection in London

Wapenzi hawa wamekua re united huko London ambapo Baraka alienda kufanya show kule.well hawa ni wazungu maana wanapendana na kuonyesha kwenye public. look into…

Read More

TRAVELLING STYLE ::HUWA WAVAA NINI UKISAFIRI?

HII ISSUE YA NINI CHA KUVAA WAKATI WA KUFASIRI NMEIFIKIRIA MUDA  NKASEMA HATAA NGOJA NIIANDIKIE ,  MAANA UNASAFIRI UNAONA WATU WALIVYOJIKOKI WAKATI WANASAFIRI NA…

Read More

NATURALISTA:CYNTHIA

NI NATURALISTA NA FASHIONISTA NA TWAWALETEA MITINDO MBALI MBALI AMABYO HUWA ANASTYLE NYWELE ZAKE. HII WANAIITA UP DO KIJINJA CHABANWA KUELEKEA JUU SIDE AND…

Read More

Style By Number :: 7 Ways to Style Black Skinny Jeans featuring Lavido

Yasss kwenye style by number tuna blogger,fashionista na businesswoman Lavido.She is known to be stylish ,we love how she styles her black skinny jeans…

Read More

New Arrivals At Ley Jewellers.

WAUZAJI WA PURE GOLD SILVER WITH RHODIUM NA GEMSTONE UNAWEZA TOA ODA YA UNACHOTAKA NA WANAKUPA KWA HARAKA WAPO CITY MALL FIRST FLOOR F 5…

Read More

Drones Zatumika Kubebea Pochi badala ya Models kwenye runway ya Dolce & Gabbana Milan Fashion Week

]Human Models are so last season It’s 2018 na tayari tunaishi in the future Tecnolojia inazidi kukua na ku prove kwamba machine zinauwezo wa…

Read More

What Celebs Wore at ‘A Wrinkle in Time’ Premiere

Hii ni  movie mpya ya fairy tale ambapo yumo Oprah Winfrey, Reese Witherspoon and Mindy Kaling na wengine,its a Disney Film ambayo imesubiriwa kwa hamu sana…

Read More

Beauty Trends :: Fishtail Brows + Tutorial ya Jinsi ya ku achieve hii trend

Last year we saw many weird eyebrow trends ruling the social media. Is this one of those weird trends? Since the Boom of Beauty…

Read More

Kim Kardashian Ame share Picha ya Baby Chigaco

The keeping up with the Kardashian star Kim Kardashian amemtambulisha binti yake Chicago kwenye social media,mtoto huyu ambaye amepatikana via surrogate mother tulimuona kwa…

Read More

New Arrivals At The Glamorous Fashion.

The glamorous fashion inakuletea the latest fashion trends from US & UK  na pia wana-international shipping, utatumiwa mzigo wako popote ulipo. WANAPATIKANA :: SINZA…

Read More

Style by Number:: 2 ways Agatha styled her Blue dress

Good Morning Issa choose day and we choose to be more stylish A post inspired by Agatha who styles her bow blue skater dress…

Read More

Mishono #289 ::: Hapa Nina Mishono 28 Ku Mark siku 28 za Mwezi February

Yassss Mishono 28 ku mark siku 28 za mwezi Feb na kuukaribisha March This dress and this color Haka kamshono nakafanyia kazi,skirt amazing  Jumpsuit…

Read More

Work Wear Ideas to Wrap up February

Hello corporate chicas,hii ni wiki ya mwisho tumalize mwezi february tukaribishe March ambapo kuna siku ya wanawake duniani. Ideas za nini cha kuvaa hizi…

Read More

Milan Fashion Week:: Versace Collection yao imejaa Colourful Prints, Headscarves, Big Belt & Corsets

Versace kwa collection hii wamenibamba sana ,their  Autumn/Winter 2018 Ready-To-Wear Collection is a winner ,sio kwa collection hii. Nimependa mambo mengi kama ifuatavyo. MACRO…

Read More