Pamba na Afya yako ::17 Days Diet Day 7 to 11 (Part 3)

#17daysdiet#PambananaAfyayako#30dayshealthychallengeย haya tuendelee last post nilishare diet ya kuanzia siku ya 1 hadi ya 6 ๐Ÿ‘‰๐Ÿฟ๐Ÿ‘‰๐Ÿฟ๐Ÿ‘‰๐Ÿฟ .
Leo nimeshare diet ya siku 7 hadi 11.


.
Naomba niwasisitizie tu jamani msistushwe na haya majina ya vyakuwa (si mnawajua wazungu kwa mbwembwe) nimewatolea mfano hapo ya pichaย #juliennecarrotukiona hivi unaweza kusema hii diet siiwezi but ni carrot ๐Ÿฅ• hizi hizi ๐Ÿฅ• chakula cha sungura sema uandaaji na upishi ndo wabadili jina so we chukua karoti yako gegeda.
.
Ndo maana nilishare picha ya vyakula ambavyo mimi nilikula wakati wa diet yangu . Pekua nyuma๐Ÿ‘‰๐Ÿฟ๐Ÿ‘‰๐Ÿฟ
.
Jamani Hata tembele / mchicha/ majani ya kunde / boga /mnafu nayo ni Vegetables ni vile tu hawana majina ya kizungu .
Kula izoooooo usije ukasema unaacha kufanya diet kisa huna broccoli na cauliflower, tena vegies zetu zina thamani zaidi maana zinaongeza hata damu.(kuleni hayo yanatosha kabisa.
.
Mkiona salmona fish tena uruke kula dagaa/ sato / sangara/ kibua/ tasi nk mradi aitwe samaki ambaye wewe unammudu
.
Kwa leo niishie hapa saa 5 kwaย #instastorynitawafafanulia zaidi juu ya hizi vyakula mwenye swali niandikie hapa kabla ya saa 4 kamili ili nisome nikujibu
#happy88Day
Sikukuu ya wakulima tuvitukuze vyakula vyetu in a
#healthylifestyle
#healthyeating
#teamhealthylifestyle

 

 

#17daysdiet #PambananaAfyayako #30dayshealthychallenge haya tuendelee last post nilishare diet ya kuanzia siku ya 1 hadi ya 6 ๐Ÿ‘‰๐Ÿฟ๐Ÿ‘‰๐Ÿฟ๐Ÿ‘‰๐Ÿฟ . Leo nimeshare diet ya siku 7 hadi 11. . Naomba niwasisitizie tu jamani msistushwe na haya majina ya vyakuwa (si mnawajua wazungu kwa mbwembwe) nimewatolea mfano hapo ya picha #juliennecarrot ukiona hivi unaweza kusema hii diet siiwezi but ni carrot ๐Ÿฅ• hizi hizi ๐Ÿฅ• chakula cha sungura sema uandaaji na upishi ndo wabadili jina so we chukua karoti yako gegeda. . Ndo maana nilishare picha ya vyakula ambavyo mimi nilikula wakati wa diet yangu . Pekua nyuma๐Ÿ‘‰๐Ÿฟ๐Ÿ‘‰๐Ÿฟ . Jamani Hata tembele / mchicha/ majani ya kunde / boga /mnafu nayo ni Vegetables ni vile tu hawana majina ya kizungu . Kula izoooooo usije ukasema unaacha kufanya diet kisa huna broccoli na cauliflower, tena vegies zetu zina thamani zaidi maana zinaongeza hata damu.(kuleni hayo yanatosha kabisa. . Mkiona salmona fish tena uruke kula dagaa/ sato / sangara/ kibua/ tasi nk mradi aitwe samaki ambaye wewe unammudu . Kwa leo niishie hapa saa 5 kwa #instastory nitawafafanulia zaidi juu ya hizi vyakula mwenye swali niandikie hapa kabla ya saa 4 kamili ili nisome nikujibu #happy88Day Sikukuu ya wakulima tuvitukuze vyakula vyetu in a #healthylifestyle #healthyeating #teamhealthylifestyle

A post shared by Shamim Mwasha (@8020fashions) on

Related Posts

Leave a Reply