PATA MSHONO WA KITENGE WA BEYONCE

 

HADI BEYONCE MAMA AKE BLUE IVY KATINGA KITENGE  AFRICANPRINT WE USITINGE WE NANI…..YE KASHAVAA DESIGNER MNOOO, KASHAVAA NGUO ZA BEI ZA HAJA NA LEO KATINGA KITENGE WEWEEE JE……BIBI KAMATA  MSHONO MAFUNDI NDO HAOOO …pendezaa
Screenshot_2014-07-14-20-29-25-1QUEEN BEY NDANI YA PRINT ON PRINTS KITU CHA KITENGE YA JUU NI KAMA BLAZER NAONA AKAMUA AFUNGE NA MKANDA KUFANYA IWE KAMA BLAUZI,KOFIA NAYO NI KITENGE .

hghMUONEKANO WA BLAUZI YA KITENGE KUTOKA KWA MODEL vgghNA HII NDO SKIRT AMBAYO HAPA KWA MODEL MPASUO HAUNEKANI VIZURI.Screenshot_2014-07-14-20-29-12-1HUU MSHONO NI WA JUMPSUIT MWAITA KANYELA MUMO WENGINE.

BNJKMUONEKANO MZURI WA JUMPSUIT

CREDIT:DAILYMAILY

Related Posts

Leave a Reply

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.