PATA MUONEKANO ::DENIM PUMPSUIT

DENIM JUMPSUIT::MSASANI CITY MALL

FLIP FLOPS/MALAPA/NDALA::MSASANI  CITY MALL

LIQUID LIPSTIC AINA YA POTION::cecylonlineluxuryboutique

INSTAGRAM:: @CECYLONLINELUXURYBOUTIQUE

WASILIANA NAO ::+255765977955

MY HAIR STYLE ::

NATUMIA SHEAR MOISTURE PRODUCTS UTAZIPATA BACK TO AFRICA CHUMBA NAMBA 70 DAR FREE MARKET

#T444ZHAIRFOOD & NA PRODUCT NYENGINE MAHSUSI KWA NATURAL HAIR :: UTAIPATA BACKTOAFRICA , DAR FREE MARKET ,CHUMBA NAMBA 70

SIMU YA KUPIGA ::0784 418941 /0715434335

INSTAGRAM ::@8020FASHIONS

PICTURES THANKS ABDUL WA PIXELBASE

WASILIANA NAO :: 0658 82 22 24

INSTAGRAM @ABDUL PICHA MNATO

PBP_6016 PBP_6012 PBP_6018 PBP_6014 PBP_6024PBP_6033 PBP_6034

SHOP FOR A SIMILAR LOOK

Related Posts

13 Comments

 1. umependeza shoga, unatusaidia sana ktk fashion,unaweza niambia shamimu unapaka mafuta gani usoni na mwilini, kama nitahumudu nijaribu mana mkorogo umeniharibu. asante

  1. Shukran Janeth

   Usoni napaka lamer na lancome Advance genifique , mwilini queen hellen cocoa butter /red fox olive oil butter na crez cocoa butter ambayo ni petroleum jelly na bio oil somtimes

   hope nimekujibu….

 2. hi shamimu, still nakusumbua je unazipata hizo product, na bei gani,na zote nimchana au usiku, na sabuni gani au shower gel gani,nisaidie mpendwa hali mbaya.asante

 3. Hi Shamim,

  Nimependa sana Muonekano wako wa kivazi cha jumpsui, I like it. Na hasa si mchoyo wa kutupa vijimambo vya muonekano wa kila siku

Leave a Reply