PATA MUONEKANO @MY BIRTHDAY BRUNCH WITH FAMILY

 

YES HII NI LATEPOST LAKINI INA KICK YAKE PATA MUONEKANO WANGU WA KIVAZI CHANGU SPECIAL KWA BIRTHDAY YANGU AMBACHO NILITENGENEZEWA NA DESIGNER WANGU WA NGUVU (In Millard Ayo voice) EVE COLLECTIONS HUU ULIKUWA MTOKO AMBAO NILITOKA MIMI NA FAMILIA YANGU KWENYE BRUNCH HYATT, BAADA YA ILEEE patamuonekano FUNGUA HUMU AMBAYO NILITOKA NA MARAFIKI  ZANGU HII

 

NAOMBA NISIMULIE KIVAZI CHANGU NADHANI NI KIVAZI CHENYE THAMANI KUBWA KWA WARDROBE YANGU UKILINGANISHA THAMANI YAKE ESPECIALLY KWENYE KAZI YA MKONO ILIYOFANYIWA WAJUZI WA MAMBO WANAELLEWA HANDWORK ILIVYO GHALI UKILINGANISHA NA KAZI INAYOFANYWA KWA MASHINE PEKEE (SHUKRAN EVE COLLECTIONS)

DESIGNER ::EVE COLLECTIONS

WANAPATIKANA ::EAST 24 ZAMANI ARCADE HOUSE PEMBENI YA KFC

WASILIANA NAO ::0757 370 543 / 0672  72 67 22

E-MAIL::evecollections@gmail.com

MY HAIR STYLE

:: NATUMIA SHEAR MOISTURE PRODUCTS UTAZIPATA MIMIS COLLECTION , SINZA KONA BAR & GOLDEN JUBILEE

MIMIS COLLECTIONS PIGA SIMU ::0689 88 77 70

#T444ZHAIRFOOD & JAMAICAN CASTOR BLACK OIL :: UTAIPATA BACKTOAFRICA , DAR FREE MARKET ,CHUMBA NAMBA 70

SIMU YA KUPIGA ::0784 418941 /0715434335

INSTAGRAM ::@8020FASHIONS

SHOES  ::BY INDIGO ….):- NI KIATU PEKEE KIREFU NILONACHO AMBACHO NIKIVAAPO NAKUWA COMFORTABLE…..kitanikomajeee

PICTURES THANKS ABDUL WA PIXEL BASE
shamim mwashas birthday dressed by eve collections-6

HANDWORK…NA HII NDO INAFANYA THAMANI YA NGUO HII KUPANDA,AMBAPO EVE ANAKIRI KUSEMA NI NGUO YENYE KAZI NA INACHUKUA MUDA MWINGI ZAIDIshamim mwashas birthday dressed by eve collections-7

YESSS …HII NI KAZI YA MKONO IMESHONWA SHANGA MOJA BAADA YA NYENGINE KUPATA HUU MUONEKANO
shamim mwashas birthday dressed by eve collections-5

KAZI YA MKONOshamim mwashas birthday dressed by eve collections shamim mwashas birthday dressed by eve collections-2 shamim mwashas birthday dressed by eve collections-3 shamim mwashas birthday dressed by eve collections-4 shamim mwashas birthday dressed by eve collections-11 shamim mwashas birthday dressed by eve collections-12 shamim mwashas birthday dressed by eve collections-13 shamim mwashas birthday dressed by eve collections-14 shamim mwashas birthday dressed by eve collections-15

MEET MY FIT & FAB MUM NEEMA , YEYE NAE TUPO NAE KWA ILE GROUP YA WEIGHTLOSS YA #OURJOURNEYTOWEIGHTLOSS NI MMOJA KATI YA WALOIPOKEA HII KAZI NA KUIFANYIA KAZI KWA MOYO WOTE NA MATUNDA YANAONEKANA SIKU MOJA NITAWAELEZEA ZAIDI JUU YA GROUP NA WATU WAKE USICHOKE KUTEMBELEA KIJIWE….na haswaa huyu ndo alinishika mkono na kunitambulisha kwa mawe ya blue Enzi izoooooooo….mchungulie sikioni lataka dondoka kwa #maweyablue ;)-  (katuni ya kuficha uso atanichapa)shamim mwashas birthday dressed by eve collections-10 shamim mwashas birthday dressed by eve collections-16

YES TULIPATA WASAA WA KUPIGA PICHA YA FAMILIA MEET MY HUBBY ,DAUGHTERS & MY SON

PIXEL WEDDING RATES

BY THE WAY ABDUL NA KAMPUNI YAKE YA PIXEL BASE WAMEKUBALI KUINGIA KATIKA UPIGAJI PICHA ZA HARUSI NA HIZI NDIO PACKAGE ZAO, ALIKUWA MMOJA KATI YA PICHA ZANGU ZA HARUSI, HUTOJUTA KUFANYA NAE KAZI….NIMEMPITISHAA WADAU PICHA ZANGU ZOOTE HUMU ZA MNATO NA KUNA KITU KIZURI NAKUJA NACHO KIZURI KULA NA WENZIO ‘KKW’ NA ABDUL MZEE WA PICHA MNATO NDO ANASIMAMIA SHOW, KUANZIA FAMILY , POTRAIT , PICHA ZA SHUGHULI WASILIANA NAO

EMAIL ::Sales@pixelbase.co.tz

WAPIGIE ::0658 822 224

INSTAGRAM ::@PIXELBASRTZ / @ABDUL8819

Related Posts

12 Comments

 1. Hongera sana picha nzuri mlipendeza sana wewe na familia yako.
  please!!!!! can u share the video of how your making ur hair. cauz i have all the products as shown in the previous post. but to hell hazipati mawimbi kama zako. please assist all of us who are team natural. thank you.

 2. MASHA’ALLLAH MASHA’ALLAH MASHA’ALLAH
  I LOVE THE FAMILY PIC, MY IQ AMEKUWAAAA SUPER DIVASSSSS (IN KHADIJA’S VOICE)

  I LOVE THE LOOK MAMY naona down there kamuinuko fulani hahhahaahaha kg zinaruhusu.

  MAROGOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOO

 3. Mashallah! Mmependeza sana ww na familia yako dada Shamimu, penda sana ww!

  Hata mimi nina product zote hizo ulizonazo ila haziwi kama zako tuonyeshe ka video nasi tupendeze kama ww “team natural”

 4. Mwariiiiii unatutesaaa …hata kwenye giza plate number wanaisoma!!!watajazaaa kidumu kibao mbona!wapambe usiwape uchochoro…yako ya ndani na mwandani wako!

 5. lovely…..ni mara ya kwanza kucomment kwenye blog….nimejitahidi kukazaaa rohooo lkn Mungu kamshinda Shetani…..Shamim umependeza sanaa sanaa…wewe pamoja na familia….Mungu awalinde

 6. Kuanzia nywele mpaka kiatu umetoka sana sana, lipstick usiseme, Familia nzuri hiyo huyo binti yako mmoja naona keshaanza kusimama kidada, big up. Hilo gauni ni design nzuri sana, kwa mbele ni wow, excellent ila rangi ya kitambaa cha nyuma haijakitendea haki.

 7. umependeza sana Shamim, familia bora sana, jamani hapo sijamjua IQ yaani wamekuwa twin na mwenzie, kweli Mungu akujalie kila lililo la heri, lipstic pia niambie umetoa wapi ni bodyshop?? looking good sana, i really love the way you are raising your kids dear

Leave a Reply