PATA MUONEKANO WANGU

WIKI ILOPITA NIKIKUWA NA MTOKO WA MASAA MAWILI KAMA SIO MATATU  MBALI NA MWANANGU AMBAPO ULIKUWA MTOKO WANGU WA KWANZA TANGU NIITWE MZAZI  AKA MAMA AJMAL AKA AJ

EVENT ::LIDYA’S KITCHENPARTY

VENUE ::DUNKAN HOUSE

DRESSED BY ::EVE’S COLLECTIONS – +255 757 370 543

MAKE UP &GELE AKA LEMBA ::MAZNAT BRIDAL SALOON – +255 718 818 999

PICTURE THANKS ::ALBERT MANFESTER

EVENT ::ORGANISED BY EVEs COLLECTION MBALI NA KUDESIGN NGUO ANAANDAA PIA SHUGHULI NA HII ILIKUWA IMESIMAMA ZAIDI YA MAPAMBO NILIGUSWA ZAIDI NA SWAHILI CORNER ……PICTURE ZA TUKIO ZIMA …….LOADING …..refresh ze page usibonyeze kidude

 

_U9A8987

_U9A8927 _U9A8928 _U9A8933 _U9A8934
ANGALIZO ::

nishaanza pata ujumbe kuwa shamim usipungue saaana, lol jamani yaani bado sijapungua mi ni kibonge sema thats EVE’S TOUCH ‘ fitting  ndo siri ya urembo hapa ‘ anabana nyama zoote, STILL ME BONGE NA NiNAKULA KAMA NDO NIMETOKA LEBA  NA Nnanyonyesha  na ntanyoshesha sana so relaxin wapenzi i love my son more than i love my self.

though I eat very health , na yeyote mwenye tips za chakula kwa mama  anyonyeshae zenye afya na mtoto apate maziwa  bila kunenepeana honyo  sababu nataka nimnyonyeshe mwanangu bila kumpa maziwa ya kopo kwa miezi 6 kama wanavyopendeza madaktari

mwenye tips PLZ share Kizuri kula na Wenzio K.K.W au tuma

shamyomy@yahoo.com

Related Posts

Leave a Reply