PATA MUONEKANO WANGU

Yap nimetinga Max mixed African prints by kikis Fashion , vingine vitapatikana madukani , kwani umevipenda wataka nikujuzee? Nawe designer au una boutique wataka univishe?
Nicheki shamyomy@yahoo.com / 0784 418941

imageimage

USISAHAU KUNIFOLLOW INSTAGRAM @8020FASHIONS ILI UWEZE PATA UPDATE SAMBAMBA NA KUDISCUSS HAPO KWA PAPO YANAYOJIRI DUNIANI NAPIA HAPO JUU KULIA WEKA EMAIL YAKO ILI UJISAJILI TUWE TUNAKUTUMIA YANAYOJIRI BLOGUNI HATA KAMA HUJAFUNGUA BLOG, BILA KUSAHAU PERUZI BLOG KUPITIA SIMU YAKO

Related Posts

1 Comment

Leave a Reply