PATA MUONEKANO WETU ;-) ‘MAJONGOO’

 YESSS!! HII ILIKUWA MWISHONI MWA WIKI KWENYE EVENT YA MUSTAFA HASSANALI KUTIMIZA MIAKA 15 KWENYE FANI NA AKIITAMBULISHA COLLECTION YAKE MPYA BAADA YA KUKAA PEMBENI KWA MIAKA KADHAA WAWEZA ONA KAZI YAKE

HUMU MEREMETA NA HASSANALI

MIMI NILIREROCK KIVAZI CHANGU AMBACHO NILIVAA RED RIBBON 2013

EHEEE KWANI KESI??!! NA MIE NILIKIREROCK HASWAA BAADA YA KUWA REDESIGNED NA DESIGNER WANGU

EVE COLLECTIONS ‘MY ONE AND ONLY’

ALICHOFANYA KWENYE KILE KITENGE CHETU NAOMBA NAKIBATIZA  JINA LA ‘MAJONGOO’ ALIONGEZEA BELT NA KULIFANYIA YALE MAMBO YETU YA HANDWORK  NA KUKIBADILISHA MUONEKANO ULE ULIOKUWA NA TENITE NA SASA KUTOKELEZEA KAMA UNIONAVYO ‘U NAME IT’

BY THE WAY ZILE TENITE ZOOTE ALIZONITENGENEZESHA WAKATI WA UJAOZITO AMEZIREDESIGN

….nyie mvaao nguo once na kutupo poleniii

KUZIONA NIKIREROCK ZIKIWA REDESIGNED WATCH ZE SPACE

Redribon-ZEZE

HAPA LILIKUWA LINAITWA TENITE
red-ribbon-ZEZE AND EVE

                             TUCHEKI NA MAJOGOO YETU , EVE NAE ALIVAA TOP YAKE YA MAJONGOOILA KITENGE CHAKE NI RANGI NYEKUNDU (IKIWA REDESIGNED)

eve zeze
ZEZE EVE
Mustapha Hasannali (164 of 184)

EEEeeee kunona nimenona cheki  kono……Uzazi rahaaaaa  naonekana msupuuu 😉

KUPATA VIVAZI VYA EVE COLLECTIONS

WANAPATIKANA ::EAST 24 ZAMANI ARCADE HOUSE PEMBENI YA KFC

WASILIANA NAO ::+255 757 370 543

E-MAIL::evecollections@gmail.com

INSTAGRAM ::@EVECOLLECTIONS

Related Posts

Leave a Reply

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.