PLUS SIZE FASHIONISTA:GARNER

LEO PLUS SIZE FASHIONISTA HUYU AONYESHA THE WAY WAWEZA VAA JUMPSUIT YAKO UKAISTYLE MARA NYINGI KUTEGEME NA UNAPOENDAGFHMWAWEZA VAA OFISINI KWA KUVAA BLAZER ITONEKANA KAMA SURUALI TU

OUTING UNAONGEZA TU ACCESSORIES ZA HAPA NA PALE NA CLUTH NZURI

CASUAL LOOK ITS ALL ABOUT KUWA COMFY SO GLATS ZITAKUSAIDIA NAONA KAONGEZA NA SCHIFFON BLOUSE NA MKANDA KUUPA MUONEKANO WAKE MVUTO ZAIDI.

CREDIT:GARNERSTYLE

 

Related Posts

Leave a Reply