Rafiki wa Kim Kardashian West Akanusha Uvumi wa Talaka ya Kim na Kanye West

So tangu Kanye alazwe mpaka kutoka hospitali kumekuwa na uvumi mkubwa wa wana ndoa hawa wawili kuachana.

Wengi wakisema Kim anataka kuomba talaka ili aweze kuachana na Kanye ,zingine zikisema wanaishi nyumba tofauti sababu anahofia usalama wa watoto wao dhidi ya Kanye.

But Leo kupitia mtandao wa Dailymail rafiki mkubwa wa Kim anaitwa Jonathan amesema kuwa hizo ni funny rumours na ametoka kuongea na wawili hao na wako poa.

Aliliambia jarida hilo ‘It’s kinda funny to me,’ adding that ‘I didn’t know there was rumours about it.’

‘I didn’t hear any rumours today, ’cause I’ve been busy today, but it’s – I mean, I just literally got off the phone with them.’

 

Mtandao wa Us weekly uliandika kuwa Kim ataomba talaka Kanye akiwa poa na kupewa haki ya kuishi na watoto wao wawili Saint na North .

Inasemkana Kim hataki tena ku stay married

Related Posts

Leave a Reply