RANGI YA MWAKA 2019 NI LIVING CORAL

Mwaka 2018 tulikua na ULTRA VIOLET  shade ya Purple hii ambayo ni favorite color ya Designer ,philanthropist,entrepreneur Khadija Mwanamboka me napenda kumuita PURPLE GIRL she loves her purple .

Hawa Pantone wao wamejipa authority duniani ya kuchagua rangi za kila mwaka na mwaka huu wamekuja na LIVING CORAL ,hii inatokana na maisha ya viumbe vinavyoishi kwenye maji  na maisha yao kwa ujumla ambayo mwisho wa siku wanadamu tunaharibu kwa chemicals na sumu kibao zinazoelekezwa kwenye maji ,hivyo kutishia uhai wa viumbe hivyo.

“Just as coral reefs are a source of sustenance and shelter to sea life, vibrant yet mellow, Pantone 16-1546, Living Coral embraces us with warmth and nourishment to provide comfort and buoyancy in our continually shifting environment,” Pantone announced Wednesday.
Rangi ya kila mwaka kwa Pantone wao huchagua basing on  socioeconomic conditions, fashion trends, new technologies, as well as new trends in the realms of lifestyle, art, music, travel, and of course, social media.
This year, with technology and social media ever encroaching on our daily lives, Pantone thought it was the appropriate time to turn to nature and its beautiful colors CNN.
Huu mwaka kutokana na teknolojia na social media wakaona its time to turn into nature and its beautiful colors

“Color is an equalizing lens through which we experience our natural and digital realities, and this is particularly true for Living Coral,” Leatrice Eiseman, Executive Director of the Pantone Color Institute, said in a statement. “With consumers craving human interaction and social connection, the humanizing and heartening qualities displayed by the convivial Pantone Living Coral hit a responsive chord.

Rangi nzuri inayovutia ambayo mara nyingi inaonekana in coral reef japo sasa hivi kuna threat ya sumu kuingia kwenye maji ambazo zinasababishwa na wanadamu .
 

Leave a Reply

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.