RAY KIGOSI ASEMA WEUPE WAKE NI KWAKUWA ANAKUNYWA MAJI MENGI SANA NA SIO MKOROGO.

12568154_1246023585411108_734818303_n

Ray amekuwa akituhumiwa kujichubua au kutumia mkorogo kwakuwa anakuwa mweupe na watu wanajiuliza ni mkorogo kweli au ????so msha judge vyakutosha Ray nae ameamua kufunguka IMG-20160218-WA0003

hiki ndo alicho wa ambia EATV na wakapost huko Tweeter kuwa siri ni MAJI MENGI SANA NA SIO MKOROGO
12345700_915437558540806_1759568856_n

Hii week ni ya mwendo wa Tips na tricks tu za Kuonekana vizuri juzi ilikuwa Kim Jana Ray kesho nani vile

Sasa kunyweni sana maji ni very healthy.IMG-20160218-WA0002

Hii ni moja ya memes zilizotengenezwa na kusambazwa mitandaoni ,sasa tushajua siri ya Ray now people take a chill Pill ,Keep calm and Drink Lots of water.

Related Posts

Leave a Reply

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.