Realty Show ya Caitlyn Jenner Kurudi ,and Oh we have a Style Update from her

Caitlyn Jenner alipojitangaza tu kuwe yeye ni transgender alikuwa na reality Show yake ILIYOPEW JINA LA IAM CAIT,ilokuwa aired on E na ikawa na season moja akielezea maisha yake baada ya kuwa Mwanamama.But baada ya season ya kwanza show kama ilikufa flani hivi but now the show will be aired on E again March 13,kama utapenda kucheki .31629D1900000578-0-image-m-61_1455952813051

On to her style update.

Shee was spotted kitaani huko Malibu rocking an animal print top akiwa ameibelt 3162A1D700000578-3455734-image-m-82_1455955280350

With skinny pants and sandals bado style yake ni hit and Miss sikuona sababu ya yeye kubelt the top zaidi imechafua tu muonekano wake but she is still learning to dress up.

caite

She was carrying a Balmain Bagierre Duffel which bei yake ni Pound 4875 looh3162A1DF00000578-0-image-m-64_1455953856833

I wish the belt angefunga nyuma mbele may be inge make sense.

Related Posts

Leave a Reply

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.