RECENT POSTS FROM KATTY COLLECTION BLOG.

Katty collection blog ni blog inayoonyesha designs tofauti za kiafrica, pia wanatoa huduma za kudesign na kushona mtindo unaotaka.

Katty collection pia wanauza material tofauti kama vile vitenge, madera, mitandio..vyote hivi unaweza kuvipata hapo kwa katty collection.

Pia wanakuletea updates kila mara za mishono ya kiafrica yani African prints, na kukuonyesha ukivalia nini na vipi mtindo fulani ndio utapendeza.

Click www.kattycollection.com kuenda moja kwa moja kwenye blog.

WASILIANA NAO KWA :: +255 784273472, 255715273472

WAFOLLOW INSTAGRAM :: @KATTYCOLLECTION

WANAPATIKANA :: Mikocheni, Mwaiki Baki Road, DSM

KATTY COLLECTION

KATTY COLLECTION 2

KATTY COLLECTION 3

KATTY COLLECTION 4

Related Posts

Leave a Reply

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.