REST IN PEACE FASHIONISTA AND COMEDIAN JOAN RIVERS

Screenshot_2014-09-04-22-27-28-1KAMA WEWE FASHIONISTA WA UKWELI BASI WAMJUA BIBI HUYU AMBAE ALIKUWA NI MCHEKESHAJI NA FASHIONISTA.ALIKUWA NA KIPINDI CHAKE CHA FASHION POLICE KWA CHANNEL E KILICHOKUWA KIKIPENDWA SANA NA KUVUTIA WATU WENGI SABABU YA BIBI HUYU..ALIPENDWA NA KUCHUKIWA PIA KWA KUWA ALIKUWA MCHAMBAJI HATARI NA MADONGO YAKE YALIWAUMA WENGI NA AT THE SAME TIME KUWACHEKESHA.Screenshot_2014-09-04-22-28-27-1BIBI HUYU ALIYEKUFA AKIWA NA UMRI WA MIAKA 81 ALIKUTWA NA MAUTI HOSPITALINI NA ILITANGAZWA ALIPATA COMPLICATIONS ZA KOO WAKATI AKIFANYIWA UPASUAJI ILI SAUTI YAKE IWE NZURI NA ANAREKODI YA KUFANYA PLASTIC SUGERY NYINGI MNOOOScreenshot_2014-09-04-22-26-31-1JOAN ALIUKATAA UZEE KWA NGUVU ZAKE ZOTE .Screenshot_2014-09-04-22-26-19-1 Screenshot_2014-09-04-22-26-58-1HII NI BAADHI YA HOST WA FASHION POLICE NA JOAN MAFASHIONISTA WAJIULIZA FASHION POLICE ITAKUJA IWE KAMA ILIVYOKUWA KIPINDI JOAN YUPO HAI???

Related Posts

Leave a Reply