Rihanna Anapopimp na kulipa Muonako mpya wa Pazia Lako la Lace lace

Rihanna is a  fashion risk taker who always slays

She knows how to WERK IT

Over the weekend alienda kwenye birthday part ya goddaughter wake na alivaa lace but akaenda na dress yake Paris kwenye kutoa tuzo ya  LVMH Prize.

Watu wengi wakawa hawaelewi hii dress yaonekana kama pazi hivi but its summer now and that’s what you wear

Her maxi dress is from Christian Dior Resort ’18 Western-themed runway, mwajua kua Riri ni face wa Dior

Kingine aka accessorize na bandana nyeusi akamalizia na kofia.

Related Posts

Leave a Reply