Rihanna rocks a little black off shoulder dress as she lunched Fenty beauty in Paris

Rihanna kawakalisha wenye makeups huko sokoni,her’s ina review nzuri sana ,nafikiri sababu kubwa ikiwa kwamba ana shades za kila mtu ,uwe una Albinism au uwe na the dark skin zote anazo,ana shades kama 49 hivi za foundation.

So anazidi kuwashika watu zaidi sababu anaenda kwenye Beuty shops alizochagua na ku interact na wateja wake live which is a good thing maana ma fans ndo wateja .

She was in Paris recently akiwa amevaa a simple black off shoulder dress

Related Posts

Leave a Reply

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.