Ripped Jeans Just Got Updated and They are Killers

Rayarchained jeans (1)

We have been wearing Ripped Jeans for as long as we could remember na what a nice way kuone the trend we love imekuwa updated and more stylish than ever.

Kampuni ya Rayar jeans ndo wamekuja na hii updated version ya ripped jeans.Kule paliporaruliwa basi wameweka chains which is i think cute and stylish hata walokuwa wanaogopa kuvaa mraruko hizi mwaweza kuzitinga.Rayarchained jeans (3)

So chians zenyewe kuna kubwa na ndogo na mikato pia iko tofauti tofauti na pia colors ziko pia za aina mbalimbali.Rayarchained jeans (1)

BlackRayarchained jeans (4)

White Rayarchained jeans (2)

Wataka kujinunulia cheki HUMU Rayarchained jeans (2)

Related Posts

Leave a Reply

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.