Sababu 7 Zilizomfanya Faiza Ally awe Showstopper and Best Dressed at the Viking’s Night

Ujio wa muziki kwa baba na mwana Nguza Viking na Papii Kocha wengi walisubiria kwa muda mrefu na jana ndo walifanya event yao iliyopewa jina la Viking’s Night ,seems watu wali enjoy sana.

Sijaelewa for some reason kuna watu walivaa as if ile ilikua harusi seriously,Jamani it was a night ya muziki muzuri ,cha kwanza ni comfortability ,hii sio event ya kuhitaji kuvaa miburuzo and some kind zakufanana na hizi.

Well Faiza Ally came through maana aliitendea haki,wengi walisema ooh alionyesha too much skin chaaaaaaaa it  was a dance night mlojifunika mlipata nini na nguo zenu za kipaimara???

Ningetegemea ona amazing crop tops na jeans,Basics kama Jeans and t shirt ukatupia ka Blazer mme enda vaa magauni ya Bridesmaids,na second dresses za reception za ma bibi harusi 

Sababu tunaona Faiza Ally alinoga sana

1.She dressed for the event perfect look ,hii ilikua a dance night ambayo ilihitaji kucheza zaidi,ku mingle sasa muonekano kama huu uliendana na theme ya usiku huo.

2.Kwa Faiza hii outfit alikua comfortable ,angeweza kucheza ,move around as much as  she wanted ,hajabanwa wala nini.

3.Showing some skin ilikua perfect for this kind of event na kwa mtu kama Faiza alipendeza ana shape ya kuachia maungo yake wazi.

4.Loved the Accessories too,since jumpsuit ilikua ina show her skin ali opt for a belly button ring na drop earrings

5.She wore her nice smile ambalo ukimuona tu wampenda

6.She is confident mwingine angevaa hii nguo angekua anaivuta vuta but mnaona alikua na confidence to wear this kind of outfit.Lazima aache mark yake akienda mahali #girl power

7.Makeup ilikua amazing ,simple loved the red lippies ,watu walipaka makeup za vibao kata na harusi za ki arabu 

Related Posts

Leave a Reply

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.