Safiri Na Gift Holidays Travel Upate 1 Free Night Hotel Nzuri Dubai!

Gift holidays travel ltd ni kampuni itakayokurahisishia mahitaji yako ya kusafiri kwa holiday au hata kibiashara. Wafuate ili uweze kujipatia offer/fursa mbalimbali.

Sasa gift holidays travel ltd wanakupa fursa ya kuweza kupata nafasi ya kulala usiku mmoja bure kabisa katika hoteli nzuri huko Dubai “Victoria Hotel”. Utapata usafiri kutoka airport hadi hotelini hapo na hata kupata breakfast bure kabisa.

WAFOLLOW INSTAGRAM : @gift_holidays_travel_ltd

WASILIANA NAO : 0688 756 440

Related Posts

Leave a Reply

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.