SAND-SATIONAL SAADANI 2016 COLLECTION BY MUSTAFA HASSANALI SOUTH AFRICA FASHION WEEK

mu (2)Finally Mustafa Hassanali ame show case collection yake alooita SAND-SATIONAL SAADANI 2016 COLLECTION,Huko kwa South Africa Fashion Week.

Collection ina prints nyingi nzuri,nimeona hata designs za mashati ziko tofauti tofauti but kwa Wakaka wakibongo sijui kama hiyo mikato baadhi wanaiweza.

Loved the sheer shirts too na kuna one shorts ina kama a sheer skirt hivi well mambo ya summer haya.

Here is the collectionMustafa Hassanali Mustafa Hassanali Mustafa HassanaliMustafa Hassanali Mustafa Hassanali Mustafa Hassanali Mustafa Hassanali Mustafa Hassanali Mustafa Hassanali Mustafa Hassanali Mustafa Hassanali Mustafa Hassanali

Related Posts

Leave a Reply