Sauti Sol Members are So Extra

Kundi la vijana wanaounda groul la Sauti Sol ambao wanatoka nchini Kenya wamejizolea umaarufu mkubwa sana Africa Mashariki, na duniani kwa ujumla  kutokana na nyimbo zao mbalimbali.

Wimbo kama kuliko jana,sura yako,girl next door nazipenda sana na ni chache miongoni mwa hit kibao walizowahi kutoa.

Mbali na kuimba wako vizuri sana kwenye mambo ya fashion/mitindo na ndo kikubwa nataka ku focus kwao leo

AFRICAN PRINTS LOVE

BEING EXTRA

THEY SLAY HARD 

SUIT UP

.

Related Posts

Leave a Reply

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.