Shilole Atakuwa Anavishwa na Kiki’s Fashion Pamoja na Martin Kadinda Kwenye Show Za Fiesta 2016

Huwa watu wa fashion wengi tunasemaga its time sasa wasanii waka hire fashion stylist au designer wa kuwavisha haijalishi ni kwenye show zao,events ,musiC videos etc

and mmoja wa watu ambao hatukuwa tuna elewa ambacho Shilole huwa anavaa maana kila akienda stejini watu Mhhhhh ,well hizi Mhhh now zitaisha since atakuwa anavishwa na Kiki Zimba pamoja na Designer Martin Kadinda.Kiki Fashion (2)

Kiki alipost this picture with a caption

Kiki’s Fashion for Fiesta 2016,nitakua namvalisha Shilole @shilolekiuno_badgirlshishi kwenye show zake za Fiesta mwaka huu nikisaidiana na designer mwenzangu @martinkadindaofficial #kikisfashion#fiesta2016#TanzanianArtist#staytuned

Tusubiri tu sasa kuona what they have in store for her.

Related Posts

Leave a Reply