Shirley B.Eniang Shows Us How to DIY the Hottest Accessory Right Now The Choker’s Necklace.

The chokers zimerudi kwa kasi sana kwenye ulimwengu wa mitindo ,Kim Kardashian hadi anavaa za Denim,ziko all over the place ,zinavaliwa na Kila mwanamke na haijalishi wadada au watoto.

Shirley ni blogger and vlogger na ameamua ku share Video jinsi ya wewe mwenyewe kutengeneza choker necklace in three style ,atatengeneza leather na lace .

Related Posts

Leave a Reply

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.